Club Highlight

 

Young Africans is one of the oldest football teams in East Africa, The Club was established in the year 1935. The club won Tanzania Premier League 24 times, Tanzania Cup 4 times and CECAFA cup 5 times.

You are here: Home

The Official Website of Young Africans Sports Club

YANGA KUPUMZIKA WIKI MBILI

 VIEWED 1629 TIMES

Uongozi wa timu ya Young Africans umetoa mapumziko ya wiki mbili kwa wachezaji wake na benchi la Ufundi kabla ya kurejea tena kuanza mazoezi jumatatu ya Novemba 24 mwaka huu, kujiandaa na mzunguko wa nane wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara na mechi ya Nani Mtani Jembe dhidi ya Simba SC katikati ya mwezi Disemba mwaka huu.

Read more...
 

YANGA YAICHAPA MGAMBO 2-0

  VIEWED 3163 TIMES

Young Africans imebuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya timu ya JKT Mgambo ya jijini Tanga mchezo uliofanyika jioni ya leo dimba la Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam, huku Saimon Msuva akibuka shujaa kwa kukwamisha wavuni mabao yote mawili.

Read more...
 

YANGA KUIVAA MGAMBO KESHO TAIFA

  VIEWED 939 TIMES

Mabingwa mara 24 wa Ligi Kuu ya Tanzania bara timu ya Young Africans kesho watashuka dimba la Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam kucheza na timu ya Mgambo JKT kutoka mkoani Tanga katika muendelezo wa michezo ya VPL mzunguko wa nane.

Read more...
 

YANGA YAREJEA DAR, KUIVAA MGAMBO JUMAMOSI

 VIEWED 1887 TIMES

Kikosi cha timu ya Young Africans tayari kimesharejea jijini Dar es salaam kutok kanda ya Ziwa ambapo kilicheza michezo miwili ya Ligi Kuu ya Vodacom dhidi ya Stand United ya mjini Shinyanga na Kagera Sugar ya mjini Bukoba na kujikusanyia pointi tatu kati ya pointi sita.

Read more...
   

Page 1 of 118

 • «
 •  Start 
 •  Prev 
 •  1 
 •  2 
 •  3 
 •  4 
 •  5 
 •  6 
 •  7 
 •  8 
 •  9 
 •  10 
 •  Next 
 •  End 
 • »

 

 • FACEBOOK

 • TWITTER