Club Highlight

Young Africans is one of the oldest football teams in East Africa, The Club was established in the year 1935. The club won Tanzania Premier League 24 times, Tanzania Cup 4 times and CECAFA cup 5 times.

You are here: Home

The Official Website of Young Africans Sports Club

MAXIMO AWASILI, COUTINHO KESHO

VIEWED 4882 TIMES

Kocha Mbrazil Marcio Marcel Maximo tayari ameshawasili jijini Dar es salaam kwa ajili ya kuanza kazi kukinoa kikosi cha timu ya Young Africans kwa ajili ya msimu ujao kwenye mashindano ya Ligi Kuu ya Vodacom pamoja na mashindano ya Kimataifa.

Read more...
 

11 KUTOVAA UZI WA YANGA MSIMU UJAO

VIEWED 12226 TIMES

Ikiwa dirisha la usajili limeshafunguliwa tangu wiki iliyopita kwa timu mbali mbali kuanza kufanya usajili wa wachezaji na zingine zikianza mazoezi, timu ya Young Africans imeweza kuweka wazi majina ya awali ya baadhi ya wachezaji ambao hawataitumikia katika msimu ujao wa 2014/2015.

Read more...
 

WANAOPINGA MAAZIMIO YA MKUTANO MKUU DAFTARI LIPO WAZI

VIEWED 2336 TIMES
Mwenyekiti wa Klabu ya Young Africans Bw Yusuf Manji amesema wanachama wanaopinga maamuzi ya mkutano mkuu uliofanyika Juni Mosi 2014 katika Bwalo la Polisi Osyterbay ya kuwaongezea muda wa mwaka mmoja, wafike makao makuu ya klabu na kujiorodhesha majina yao kwa Katibu Mkuu.
Read more...
 

WAZEE WATOA TAMKO

VIEWED 2343 TIMES

Baraza la Wazee wa Klabu ya Young Africans leo wamefanya mkutano na waandishi wa habari makao makuu ya klabu na kuwakemea wanachama wanaosema ya kwamba watapeleka baarua TFF kwa ajili ya kuushitaki uongozi kuwa wamevunja Katiba kwa kuongeza muda wa mwaka mmoja kuwa madarakani.

Read more...
   

Page 1 of 108

  • «
  •  Start 
  •  Prev 
  •  1 
  •  2 
  •  3 
  •  4 
  •  5 
  •  6 
  •  7 
  •  8 
  •  9 
  •  10 
  •  Next 
  •  End 
  • »

Facebook Twitter YouTube
  • FACEBOOK

  • TWITTER