You are here: Home NEWS Local News

Local News

News

BENO, MAGARI WAULA YANGA

VIEWED 3108 TIMES

Mwenyekiti wa Young Africans Yusuf Manji leo amemtambulisha rasmi Bw. Beno Njovu kuwa katibu mkuu mpya wa klabu akichukua nafasi ya Lawrence Mwalusako aliyekua kaimu katibu mkuu kwa kipindi cha mwaka mmoja.

Last Updated on Tuesday, 10 December 2013 15:07

Read more...

 

News

NGAO : NAWASHANGAA

VIEWED 1958 TIMES

Nahodha wa kikosi cha Young Africans U-20 ambaye pia msimu huu amepandishwa katika kikosi cha kwanza Issa Rashid Ngao amesema ameshangwaza na taarifa zilizotolewa jana katika baadhi ya mitandao kwamba yeye hana mkataba na Yanga na kusema hizo ni taarifa za uongo.

Last Updated on Saturday, 07 December 2013 09:07

Read more...

 

News

YANGA YAJIFUA UFUKWENI

VIEWED 1367 TIMES

Mabingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom nchini Tanzania bara timu ya Young Africans leo wameendelea na mazoezi kwa kujifua katika fukwe za Coco kujiandaa na mchezo wa Hisani "Nani Mtani Jembe" dhidi ya Simba SC Disemba 21, 2013 katika dimba la uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.

Last Updated on Friday, 06 December 2013 12:09

Read more...

   

News

YANGA YATOA RIPOTI YA MAPATO NA MATUMIZI

VIEWED 2170 TIMES

Uongozi wa klabu ya Young Africans leo umetoa ripoti ya mapato na matumizi kwa kipindi cha miezi sita tangu Januari 14, 2013 mpaka Julai 14, 2013 ikiwa ni sehemu ya muendelezo wa kutoa mahesabu hayo kwa wapenzi, washabiki, na wanachama na jamii kwa ujumla.

Last Updated on Wednesday, 04 December 2013 16:35

Read more...

 

News

KASEJA AANZA MAZOEZI

VIEWED 1527 TIMES

Mlinda mlango namba moja nchini Juma Kaseja Juma leo ameanza rasmi mazoezi na timu yake mpya wa Young Africans katika uwanja wa Bora Mabatini - Kijitonyama kujiandaa na mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya Vodacom na mashindano ya kimataifa.

Last Updated on Monday, 02 December 2013 14:27

Read more...

   

Facebook Twitter YouTube
  • FACEBOOK

  • TWITTER

mod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_counter
mod_vvisit_counterToday1547
mod_vvisit_counterYesterday11260
mod_vvisit_counterThis week20536
mod_vvisit_counterLast week35641
mod_vvisit_counterThis month76126
mod_vvisit_counterLast month188334
mod_vvisit_counterAll days1464849

We have: 116 guests, 3 bots online
Your IP: 207.241.237.104
Mozilla 5.0, 
Today: Feb 14, 2014