You are here: Home NEWS Local News

Local News

News

Asamoah,Berko waenda mapunzikoni.

ARTICLE HITS: 423 TIMES

Wachezaji wa kimataifa kutoka nchini Ghana, Kenneth Asamoah na Yaw Berko wameondoka jijini Dar es Salaam alfajiri ya leo kwenda nchini Ghana kwa ajili ya mapunziko ya muda mfupi. Wachezaji hao wameondoka baada ya Uongozi wa mabingwa wa soka kwa nchi za Afrika Mashariki na Kati kutoa mapunziko ya wiki tatu kabla ya kuingia katika hatua nyingine ya mzunguko wa ligi kuu pamoja na michuano ya kimataifa inayoikabili Klabu ya Yanga ikiwemo mashindano ya Klabu Bingwa barani Afrika na michuano ya Kombe la Kagame. Akizungumza na www.youngafricans.co.tz , Afisa Habari wa Klabu ya Yanga,

Last Updated on Saturday, 12 November 2011 09:56

Read more...

 

News

UHAI CUP kuanza tarehe11/11/11 katika Uwanja wa Azam FC - Mbande

ARTICLE HITS: 323 TIMES

Ligi ya vijana chini ya miaka 20 UHAI CUP inatazamiwa kuanza tarehe 11/11/11 katika Uwanja wa Azam FC - Mbande.
Ligi hiyo itashirikisha jumla ya timu 14 ambazo timu zao za wakubwa zinashiriki ligi kuu Tanzania Bara, timu hizo ni:
1.Young Africans B ,
2.Simba SC B,
3.Azam SC B,
4.Mtibwa Sugar B,
5.JKT Oljoro B,
6.Villa Squad B,
7.Moro United B,
8.African Lyon B,
9.Coastal Union B,
10.JKT Ruvu B,

Last Updated on Saturday, 12 November 2011 09:56

Read more...

 

News

YANGA KUIVAA POLISI DODOMA

Kikosi cha mabingwa wa ligi kuu Tanzania Bara leo kinatarajiwa kushuka dimbani kucheza na Police Tanzania katika mchezo wa ligi kuu ya VPL 2011/2012.
Mchezo huo utakuwa ni kumalzia mzunguko wa kwanza kwa timu zote amabapo Yanga ina point 24 ikiwa na nafasi ya pili na Police Tanzania ni ya 13 ikiwa na point 9.

Last Updated on Saturday, 05 November 2011 12:17

Read more...

   

News

22 WAITWA TAIFA STARS KUIVAA CHAD

KOCHA Mkuu wa Taifa Stars, Jan Poulsen leo ametangaza kikosi cha wachezaji 22 kwa ajili ya mechi ya mchujo ya Kombe la Dunia dhidi ya Chad itakayochezwa Novemba 11 mwaka huu jijini N’Djamena. Mchezaji aliyeitwa kwa mara ya kwanza ni kipa Mwandini Ally wa Azam huku pia akimjumuisha kwenye kikosi chake mshambuliaji wa timu ya Taifa ya vijana wenye umri chini ya miaka 20 (Ngorongoro Heroes), Thomas Ulimwengu. Last Updated on Saturday, 05 November 2011 12:19

Read more...

 

News

Mwape apeleka kilio msimbazi

Mchezaji wa kimtaifa kutoka nchini Zambia Davies Mwape leo ameibuka shujaa baada ya kupeleka kilio Msimbazi, kwa kufunga bao moja na la ushind kwa timu yake ya Young Africans. Last Updated on Wednesday, 02 November 2011 08:00

Read more...

   
  • FACEBOOK PAGE

  • TWITTER FEEDS

yanga1935: Yanga yafanya mkutano mkuu wa wanachama salama, ajenda zote zapitishwa http://t.co/lotRChsL
yanga1935: Yanga yaichapa Black Leopard mabao 3-2 http://t.co/8XbabdSs
yanga1935: Mpira umemalizika, Young Africans 3 - 2 Black Leopard Tegete dkk 32,73, Domayo 63 Khoza dkk 47, Rodney dkk 89
yanga1935: Dakika ya 89, Rodney Ramagalela anaipatia Black Leopard bao la pili kwa mkwaju wa penati
yanga1935: Dakika ya 84, Young Africans inafanya mabadiliko anaingia George Banda anatoka Jerson Tegete
yanga1935: Dakika ya 75, Young Africans 3 - 1 Black Leopard anaingia Said Bahanuzi anatoka Didier Kavumbagu
yanga1935: Dakika ya 73, Jerson Tegete anaipatia Young Africans bao la tatu Young Africans 3 - 1 Black Leopard
yanga1935: Dakika ya 63, Frank Domayo anaipatia Young Africans bao la pili Young Africans 2 - 1 Black Leopard
yanga1935: Dakika ya 60, Young Africans 1 - 1 Black Leopard
yanga1935: Dakika ya 47, Humphrey Khoza anaipatia Black Leopard bao la kusawazisha#Young Africans 1 - 1 Black Leopard
yanga1935: wanaingia Said Mohamed, Saimon Msuva na Juma Abdul Wanatoka Kabange Twite, Mbuyu Twite na Ally Mustafa
yanga1935: Kipindi cha pili cha mchezo kimeanza, Young Africans inafanya mabadiliko wanaingia Said Mohamed, Saimon Msuva na Juma Abdul
yanga1935: Mpira ni mapumziko, Young Africans 1 - 0 Black Leopard Tegete dkk 32
yanga1935: Dakika ya 32, Jerson Tegete anaipatia Young Africans bao la kwanza kwa mkwaju wa penati
yanga1935: Dakika ya 30, Young Africans 0 - 0 Black Leopard
yanga1935: Dakika ya 15, Young Africans 0 - 0 Black Leopard
yanga1935: Mpira ndio umeanza hapa Uwanja wa Taifa kati ya Young Africans Vs Black Leopard
yanga1935: Here's Young Africans line-up to face Black Leopard today#Mustafa,Mbuyu,Oscar,Nadir,Yondani,Chuji,Kabange,Domayo,Didier,Tegete,Niyonzima
yanga1935: International Friendly Match today: #Young Africans Vs Black Leopard Kick-off 16:00hrs Venue: National Stadium
yanga1935: Yanga Vs Black Leopard kesho Taifa http://t.co/o9Uu695M
yanga1935: Yanga yaanza mazoezi baada kurejea kutoka nchini Uturuki http://t.co/WjuE9731
yanga1935: Young Africans kuivaa Black Leopard ya Afrika Kusini http://t.co/O5qJvtLG
yanga1935: Yanga yawasili Dar salama http://t.co/F8W53VAa
mod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_counter
mod_vvisit_counterToday824
mod_vvisit_counterYesterday2888
mod_vvisit_counterThis week824
mod_vvisit_counterLast week17151
mod_vvisit_counterThis month55150
mod_vvisit_counterLast month36036
mod_vvisit_counterAll days293382

We have: 39 guests, 3 bots online
Your IP: 207.241.237.238
Mozilla 5.0, 
Today: Jan 21, 2013