Kikosi cha mabingwa wa ligi kuu Tanzania Bara leo kinatarajiwa kushuka dimbani kucheza na Police Tanzania katika mchezo wa ligi kuu ya VPL 2011/2012.
Mchezo huo utakuwa ni kumalzia mzunguko wa kwanza kwa timu zote amabapo Yanga ina point 24 ikiwa na nafasi ya pili na Police Tanzania ni ya 13 ikiwa na point 9.
Ligi ya VPL mzunguko itamnalizika leo kwa kuchzwa michezo 7 katika viwanja tofauti,
Police Tanzania Vs Yanga - Jamhuri Dodoma,
Moro United Vs Simba - Azam FC Mbande Dar
Toto Africans Vs Azam Fc - CCM Kirumba Mwanza
Kagera Sugar Vs Coastal Union - Kaitaba Bukoba
JKT Oljoro Vs Villa Squad - Sheikh Amri Abeid Arusha
Mtibwa Sugar Vs African Lyon - Manungu Morogoro
JKT Ruvu Star Vs Ruvu Shooting - Mlandizi Pwani















