You are here: Home NEWS Local News YANGA NA SIMBA UWANJA WA TAIFA

YANGA NA SIMBA UWANJA WA TAIFA

E-mail Print PDF
Kikosi cha Mabingwa wa Afrika Mashariki na Kati na Ligi Kuu Tanzania Bara Young Africans Sports Club, kesho tarehe 29 oktoba 2011 itashuka dimbani katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam kuikaribisha timu ya Simba katika mchezo wa ligi Tanzania bara (VPL). Mchezo huo unatarajiwa kuwa mzuri kutokana na Young Africans kuhitaji ushindi ili kuweza kupunguza tofauti ya pointi baina yake na Simba, Simba inaongoza ligi ikiwa na point 27 ikifuatiwa na Young Africans yenye 21. Kocha mkuu wa Young Africans Kostadian Papic amesema wachezaji wote ni wapo fit na ari ya mchezo, hakuna majeruhi hata mmoja. Mashabaiki wapenzi na wanachama mnaombwa kujitokeza kwa wingi kuishangilia timu yenu
AddThis Social Bookmark Button
Last Updated ( Wednesday, 02 November 2011 08:27 )  
  • FACEBOOK PAGE

  • TWITTER FEEDS

yanga1935: I posted 12 photos on Facebook in the album "Mazishi ya Hamza Said (Zola)" http://t.co/c03XqvTBUK
yanga1935: Mamia ya wanachama, wapenzi na mashabiki wa soka leo jioni wameshiriki katika safari ya mwisho ya kuusindikiza... http://t.co/j9a41B4NIH
yanga1935: Aliyekuwa mfanyakazi wa klabu ya Yanga katika idara ya utumishi (sekretarieti) Hamza Said al maarufu kama Zola au... http://t.co/ISNtyXGIRb
yanga1935: Hamza Said (Zola, Chiluba) amefariki leo alfajiri kwa ajali ya kugongwa na gari. Zola alikuwa mfanyakazi wa Yanga SC http://t.co/DdbGYuqnRH
yanga1935: TANZIA: Uongozi wa klabu ya Yanga unasikitika kutangaza kifo cha mfanyakazi Hamza Said almaarufu kama Zola au... http://t.co/ZWs9NdGmqe
yanga1935: "Pisha pisha Yanga inapita, Pisha Njia Yanga inapita, Pisha pisha Mabingwa wanapita" Hivyo ndivyo washabiki,... http://t.co/QOJDmCM8ys
yanga1935: Mpira umemalizika, Ruvu Shooting 0 - 1 Young Africans Kiiza dkk 48
yanga1935: Dakika ya 80, Young Africans inafanya mabadiliko anaingia Didier Kavumbagu kuchukua nafasi ya Nizar Khalfani aliyeumia
yanga1935: Dakika ya 75, Ruvu Shooting 0 - 1 Young Africans
yanga1935: Dakika ya 60, Ruvu Shooting 0 - 1 Young Africans
yanga1935: Dakika ya 48, Hamis Kiiza anaipatia Young Africans bao la kwanza Ruvu Shooting 0 - 1 Young Africans
yanga1935: Kipindi cha pili cha mchezo kimeanza, Ruvu Shooting 0 - 0 Young Africans
yanga1935: Mpira ni mapumziko, Ruvu Shooting 0 - 0 Young Africans
yanga1935: Dakika ya 30, Ruvu Shooting 0 - 0 Young Africans
yanga1935: Dakika ya 15, Ruvu Shooting 0 - 0 Young Africans
yanga1935: Mpira ndio umeanza hapa Uwanja wa Taifa kati ya Ruvu Shooting Vs Young Africans
yanga1935: Here's Young Africans line-up to face Ruvu Shooting today: 1.Ally Mustafa 'Barthez' 2.Juma Abdul 3.Oscar Joshua... http://t.co/IFGj2qf2q5
yanga1935: Saturday Vodacom Premier League 2012/2013 Young Africans Vs Ruvu Shooting Venue: National Stadium Time: 16:00hrs... http://t.co/KtXaFTlNDD
yanga1935: I posted 2 photos on Facebook in the album "Yanga SC wakisoma Dua" http://t.co/dvBpNuoXeA
yanga1935: Ikiwa inaongoza msimamo wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kwa kuwa na pointi 45, timu ya Young Africans kesho itashuka... http://t.co/gL3YKmmsON
yanga1935: Mlinzi wa kati wa timu ya Young Africans Ladislaus Mbogo anaendelea vizuri baada ya jana kufanyiwa upasuaji wa... http://t.co/1rcHnFSUZ6
yanga1935: Timu ya Young Africans leo imeingia kambini katika hosteli zilizopo makao makuu ya klabu mitaa ya Twiga/Jangwnai... http://t.co/AWJwjt4Dud
AddThis Social Bookmark Button
mod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_counter
mod_vvisit_counterToday970
mod_vvisit_counterYesterday2319
mod_vvisit_counterThis week3289
mod_vvisit_counterLast week14464
mod_vvisit_counterThis month36375
mod_vvisit_counterLast month50671
mod_vvisit_counterAll days402812

We have: 13 guests, 1 members online
Your IP: 207.241.237.238
Mozilla 5.0, 
Today: Mar 19, 2013