
NANI MTANI JEMBE 2, YANGA KUIVAA SIMBA KESHO TAIFA
VIEWED 7688 TIMES
Mechi ya Nani Mtani Jembe namba 2 itafanyika kesho siku ya jumamosi katika dimba la Uwanja ambapo itawakutanisha Young Africans Sports Club dhidi ya Simba SC huku timu zote zikitarajiwa kuwatumia wachezai wao wapya zilizowasajili katika kipindi cha dirisha dogo.
Read more...




