
YANGA 1 - 1 SIMBA
VIEWED 2330 TIMES
Young Africans imemaliza msimu wa Ligi Kuu ya Vodacom 2013/2014 ikiwa katika nafasi ya pili kufuatia kutoka sare ya bao 1-1 dhidi ya Simba SC katika mchezo wa mwisho uliofanyika kwenye dimba la Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam na kufikisha pointi 56 zikiwa ni pointi 6 nyuma ya mabingwa Azam FC.
Read more...








