You are here: Home NEWS Local News YANGA NA SIMBA UWANJA WA TAIFA

YANGA NA SIMBA UWANJA WA TAIFA

E-mail Print PDF

Kikosi cha Mabingwa wa Afrika Mashariki na Kati na Ligi Kuu Tanzania Bara Young Africans Sports Club,

kesho itashuka dimbani katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam kuikaribisha timu ya Simba katika mchezo wa ligi Tanzania bara (VPL).
Mchezo huo unatarajiwa kuwa mzuri kutokana na Young Africans kuhitaji ushindi ili kuweza kupunguza tofauti ya pointi baina yake na Simba, Simba inaongoza ligi ikiwa na point 27 ikifuatiwa na Young Africans yenye 21.
Kocha mkuu wa Young Africans Kostadian Papic amesema wachezaji wote ni wapo fit na ari ya mchezo, hakuna majeruhi hata mmoja.
Mashabaiki wapenzi na wanachama mnaombwa kujitokeza kwa wingi kuishangilia timu yenu
Last Updated ( Monday, 31 October 2011 23:00 )  

Facebook Twitter YouTube
  • FACEBOOK

  • TWITTER

mod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_counter
mod_vvisit_counterToday148
mod_vvisit_counterYesterday11260
mod_vvisit_counterThis week23728
mod_vvisit_counterLast week36083
mod_vvisit_counterThis month74727
mod_vvisit_counterLast month188334
mod_vvisit_counterAll days1463450

We have: 69 guests, 4 bots online
Your IP: 207.241.237.104
Mozilla 5.0, 
Today: Feb 14, 2014