You are here: Home NEWS Local News YANGA, NJOROGE MAMBO SAFI

YANGA, NJOROGE MAMBO SAFI

E-mail Print PDF

VIEWED 1063 TIMES

Uongozi wa klabu ya Young Africans umemalizana na mchezaji wake wa zamani John Njoroge aliekua na madai yake ya kuvunjwa mkataba wake miaka miwili iliyopita, hali iliyompelekea Njoroge kuishtaki Yanga FIFA na jana jioni Uongozi umemalizana nae.

Akiongea na mtandao wa klabu www.youngafricans.co.tz katibu mkuu wa Young Africans Lawrence Mwalusako amesema wamefikia mwisho juu ya suala na hilo ambapo jana jioni Njorogen alipokea pesa aliyokua akidai klabu ya Yanga.

Awali tulitangulia kumlipa tsh milioni 4 ambapo alitaka kumaliziwa pesa yake kwa pamoja, na jana klabu ya Young Africans ilimalizia kumlipa tshs milioni 14 kama alivyoelekeza na hivyo Yanga kuwa imemlipa jumla ya tshs milioni 17 alizokuwa anadai alisema 'Mwalusako'

Mchezaji John Njoroge aliyejiunga na Young Africans akitokea Tusker FC ya Kenya amelipwa jumla ya tshs milioni 17 ambazo tayari amedhibitisha kuzipokea na kutuma kiambatanisho cha malipo FIFA

John Njoroge alisajiliwa Young Africans mwaka 2008 kwa mkataba wa miaka miwili kabla ya kuongezewa tena mkataba wa mwingine ambao ulilkua na utata hatua iliyopelekea Njoroge kwenda kuishitaki Yanga FIFA.

Kufuatia hatua hii Uongozi wa Young Africans unawashukuru wapenzi, washabiki na wanachama wake kwa kuwa na subira katika kipindi hiki ambacho uongozi ulikuwa unalishulikia suala hili.

YANGA, DAIMA MBELE, NYUMA MWIKO!!

 
  • FACEBOOK PAGE

  • TWITTER FEEDS

yanga1935: Yanga yafanya mkutano mkuu wa wanachama salama, ajenda zote zapitishwa http://t.co/lotRChsL
yanga1935: Yanga yaichapa Black Leopard mabao 3-2 http://t.co/8XbabdSs
yanga1935: Mpira umemalizika, Young Africans 3 - 2 Black Leopard Tegete dkk 32,73, Domayo 63 Khoza dkk 47, Rodney dkk 89
yanga1935: Dakika ya 89, Rodney Ramagalela anaipatia Black Leopard bao la pili kwa mkwaju wa penati
yanga1935: Dakika ya 84, Young Africans inafanya mabadiliko anaingia George Banda anatoka Jerson Tegete
yanga1935: Dakika ya 75, Young Africans 3 - 1 Black Leopard anaingia Said Bahanuzi anatoka Didier Kavumbagu
yanga1935: Dakika ya 73, Jerson Tegete anaipatia Young Africans bao la tatu Young Africans 3 - 1 Black Leopard
yanga1935: Dakika ya 63, Frank Domayo anaipatia Young Africans bao la pili Young Africans 2 - 1 Black Leopard
yanga1935: Dakika ya 60, Young Africans 1 - 1 Black Leopard
yanga1935: Dakika ya 47, Humphrey Khoza anaipatia Black Leopard bao la kusawazisha#Young Africans 1 - 1 Black Leopard
yanga1935: wanaingia Said Mohamed, Saimon Msuva na Juma Abdul Wanatoka Kabange Twite, Mbuyu Twite na Ally Mustafa
yanga1935: Kipindi cha pili cha mchezo kimeanza, Young Africans inafanya mabadiliko wanaingia Said Mohamed, Saimon Msuva na Juma Abdul
yanga1935: Mpira ni mapumziko, Young Africans 1 - 0 Black Leopard Tegete dkk 32
yanga1935: Dakika ya 32, Jerson Tegete anaipatia Young Africans bao la kwanza kwa mkwaju wa penati
yanga1935: Dakika ya 30, Young Africans 0 - 0 Black Leopard
yanga1935: Dakika ya 15, Young Africans 0 - 0 Black Leopard
yanga1935: Mpira ndio umeanza hapa Uwanja wa Taifa kati ya Young Africans Vs Black Leopard
yanga1935: Here's Young Africans line-up to face Black Leopard today#Mustafa,Mbuyu,Oscar,Nadir,Yondani,Chuji,Kabange,Domayo,Didier,Tegete,Niyonzima
yanga1935: International Friendly Match today: #Young Africans Vs Black Leopard Kick-off 16:00hrs Venue: National Stadium
yanga1935: Yanga Vs Black Leopard kesho Taifa http://t.co/o9Uu695M
yanga1935: Yanga yaanza mazoezi baada kurejea kutoka nchini Uturuki http://t.co/WjuE9731
yanga1935: Young Africans kuivaa Black Leopard ya Afrika Kusini http://t.co/O5qJvtLG
yanga1935: Yanga yawasili Dar salama http://t.co/F8W53VAa
mod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_counter
mod_vvisit_counterToday693
mod_vvisit_counterYesterday2888
mod_vvisit_counterThis week693
mod_vvisit_counterLast week17151
mod_vvisit_counterThis month55019
mod_vvisit_counterLast month36036
mod_vvisit_counterAll days293251

We have: 35 guests, 1 members, 2 bots online
Your IP: 207.241.237.238
Mozilla 5.0, 
Today: Jan 21, 2013