You are here: Home NEWS Local News YANGA YAWASILISHA USAJILI TFF

YANGA YAWASILISHA USAJILI TFF

E-mail Print PDF

2012-08-15 13:13:38 VIEWED 2199 TIMES

Young Africans imewasilisha jumla ya majina ya wachezaji 28 kwa shirikisho la soka nchini TFF, kwa ajili ya msimu mpya wa ligi kuu nchini inayotazamiwa kuanza mapema septemba mosi.

 

Katibu mkuu wa Young Africans Mwesigwa Selestine amesema wamepeleka majina ya wachezaji wote 28 kwa ajili ya msimu mpya wa ligi kuu, na hii ni kutokana na benchi la ufundi kuridhia kuwatumia wachezaji wote.

 

 

Aidha katika usajili huo uliowasilishwa leo, umeambatana na usajili wa wachezaji wa timu ya vijana U-20 ambapo majina ya wachezaji mahiri wa timu ya Taifa Saimon Msuva na Frank Domayo.

Usajili kamili kwa timu ya wakubwa ni kama ifuatavyo:

Walinda Mlango:

Yaw Berko, Ally Mustafa 'Barthez' na Said Mohamed

Walinzi wa pemebeni:

Shadrack Nsajigwa, Godfrey Taita, Juma Abdul, Oscar Joshua, David Luhende na Stephano Mwasika

Walinzi wa kati:

Nadir Haroub 'Cannavaro', Kelvin Yondan, Mbuyu Twite, Ibrahim Job na Ladislaus Mbogo

Viungo wa ulinzi:

Athuman Idd 'Chuji', Juma Seif Kijiko na Salum Telela

Viungo wa pembeni:

Nizar Khalfani, Shamte Ally, Idrisa Rashid na Omega Seme

Viungo washambuliaji:

Haruna Niyonzima, Rashid Gumbo na Nurdin Bakari

Washambuliaji:

Said Bhanaunzi, Hamis Kiiza 'Diego', Didier Kavambagu na Jeryson Tegete

 

Majina hayo yanakamilisha jumla ya 28 ya wachezaji kwa timu ya wakubwa.

Kikosi cha U-20 kina jumla ya majina 22 ambao ni:

Walinda Mlango: Geofrey Nyalusi na Yusuf Abdul

Walinzi: Said Manduta, Zuberi Juma, Said Mashaka, Benson Michael, Issa Ngao, Rashid Said

Viungo: Frank Domayo, Omary Nasry, Clever Charles, Mwinyi Bakari, Mpenda Abdallah

Washambuliaji wa pembeni: Abdulahman Ally, Hussein Moshi, Abdallah Salum, Rehani Kibingu

Washambuliaji: Saimon Msuva, George Banda, Notikely Masasi, Suleiman Ussi, Kassim Jongo

NB: Frank Domayo & Saimon Msuva usajili wao umepelekwa katika usajili wa U-20 lakini wataitumikia timu ya wakubwa

 

Last Updated ( Wednesday, 15 August 2012 10:52 )  

OUR SPONSORS

  • FACEBOOK PAGE

  • TWITTER FEEDS

mod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_counter
mod_vvisit_counterToday258
mod_vvisit_counterYesterday873
mod_vvisit_counterThis week9349
mod_vvisit_counterLast week9374
mod_vvisit_counterThis month24294
mod_vvisit_counterLast month27959
mod_vvisit_counterAll days98045

We have: 7 guests, 1 bots online
Your IP: 204.236.235.245
 , 
Today: Aug 19, 2012