ARTICLE HITS: 371 TIMES
Ligi ya vijana chini ya miaka 20 UHAI CUP inatazamiwa kuanza tarehe 11/11/11 katika Uwanja wa Azam FC - Mbande.
Ligi hiyo itashirikisha jumla ya timu 14 ambazo timu zao za wakubwa zinashiriki ligi kuu Tanzania Bara, timu hizo ni:
1.Young Africans B ,
2.Simba SC B,
3.Azam SC B,
4.Mtibwa Sugar B,
5.JKT Oljoro B,
6.Villa Squad B,
7.Moro United B,
8.African Lyon B,
9.Coastal Union B,
10.JKT Ruvu B,
12.Ruvu Shooting B
13.Toto Africans B,
14.Kagera Sugar B,
Mashindano hayo yatafanyika kwa muda wa wiki mbili na yanadhaminiwa na Kampuni ya SS Bakhresa kupitia maji ya UHAI.















