JAJA AWASILI, KUANZA KAZI KESHO
VIEWED 6599 TIMES
Mshambuliaji wa kimataifa kutoka nchini Brazil Geilson Santos Santana "Jaja" amewasili leo mchana jijini Dar es salaam akitokea jijini Sao Paul tayari kwa kuanza kazi ya kuitumikia klabu ya Young Africans Sports Club kwa msimu wa 2014/2015.
Read more...






