2012-06-06 17:03:00 VIEWED 1207 TIMES

Wagombea uongozi 33 wamejitokeza kuwania nafasi mbalimbali za uongozi katika kabu ya Yanga huku wagombea wanne wakishindwa kurejesha fomu hizo za Uongozi.
Akizungumza mara baada ya kukamilika kwa zoezi hilo,katibu wa kamati ya uchaguzi ya klabu ya yanga Francis Kaswahili amesema wagombea 29 ndio waliorudisha fomu hizo.
Kamati ya uchaguzi ya yanga kwa kushirikiana na ile ya TFF kwa pamoja watashirikiana kuhakiki majina ya wagombea waliorudisha fomu kwa muda wa siku tatu
Nafasi ya Mwenyekiti ni :
1.John Poul Jembele
2.Sarah Ramadhani
3.Yusufal Manji
4.Edgar Chibula
Makamu Mwenyekiti:
1.Clement Sanga
2.Yono Kivela
3.Ally Mayay Tembele
4.Ayoub Nyenzi
Nafasi za Ujumbe ni:
1.Lameck Chambaya
2.Ramadhani Mzimba,
3.Mohamed Mbaraka
4.Ramadhani Said
5.Edgar Fongo
6.Beda Tindwa
7.Ahmed Gao
8.Musa Katabaro
9.George Manyama
10.Aaron Nyanda
11.Omary Ndula
12.Shaban Katwila
13.Jumanne Mwamenywa
14.Abdallah Mbaraka
15.Peter Haule
16.Justin Baruti
17.Abdallah Sharia
18.Jamal Kisongo
19.Graticous Ishengoma
20.Yono Kivela
21.Ally Mayay




















