Club Highlight

Young Africans is one of the oldest football teams in East Africa, The Club was established in the year 1935. The club won Tanzania Premier League 24 times, Tanzania Cup 4 times and CECAFA cup 5 times.

You are here: Home

The Official Website of Young Africans Sports Club

YANGA YAANZA KAZI UFUKWENI

VIEWED 5175 TIMES

Kikosi cha Young Africans leo asubuhi kimeendelea na mazoezi katika Ufukwe wa Coco Beach chini ya kocha mkuu mpya mbrazil Marcio Maximo tayari kwa mikikimikiki ya Ligi Kuu ya Vodacom msimu wa 2014/2015 na mashindano ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika.

Read more...
 

COUTINHO AANGUKA MIWILI YANGA

VIEWED 4704 TIMES

Kiungo mshamabuliaji Andrey Marcel Ferreira Coutinho raia wa Brazil leo amesaini mkataba wa miwili kuitumikia timu ya Young Africans kwa ajili ya michuano mbalimbali ikiwemo ya Ligi Kuu ya Vodacom pamoja na mashindano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika.

Read more...
 

MAXIMO ASAINI MIWILI YANGA

VIEWED 3195 TIMES

Kocha mbrazil Marcio Maximo leo amesaini mkataba wa miaka miwili kwa ajili ya kuwatumikia Mabingwa mara 24 wa Ligi Kuu ya Vodacom timu ya Young Africans pamoja na msaidizi wake Leonadro Neiva ambao wamesema wamekuja kuisaidia Yanga iweze kufanya vizuri kwenye michuano mbalimbali.

Read more...
 

COUTINHO AWASILI

VIEWED 6089 TIMES

Kiungo mshambuliaji mpya wa timu ya Young Africans SC Andrey Marcel Ferreira Coutinho amewasili mchana wa leo jijini Dar es salaam akitokea kwao nchini Brazil tayari kabisa kwa kuanza kazi ya kuwatumikia wana Wanajangwani katika msimu wa 2014/2015.

Read more...
   

Page 1 of 109

  • «
  •  Start 
  •  Prev 
  •  1 
  •  2 
  •  3 
  •  4 
  •  5 
  •  6 
  •  7 
  •  8 
  •  9 
  •  10 
  •  Next 
  •  End 
  • »

Facebook Twitter YouTube
  • FACEBOOK

  • TWITTER