
YANGA, SIMBA JUMAMOSI
VIEWED 2078 TIMES
Mechi ya "Nani Mtani Jembe" kati ya Yanga SC na timu ya Simba SC itafanyika siku ya jumamosi katika dimba la Uwanja wa Taifa huku maandalizi yote yakiwa yamekamilika na Shirikisho la Mpira Miguu nchini Tanzania (TFF) likitangaza Viingilio vya mchezo huo bei ya juu ni Tshs 40,000/=.
Read more...




















