
HATUMWI MTOTO DUKANI
VIEWED 2396 TIMES
Hatumwi mtoto Dukani: Hiyo ndo kauli iliyotawala vinywani mwa wapenzi, washabiki na wadau wa soka kuelekea mchezo wa kesho Nani Mtani Jembe dhidi ya Vinara wa Ligi Kuu ya Vodacom Yanga SC watakapombana na Simba SC katika dimba la uwanja wa Taifa kesho jumamosi kuanzia majira ya saa 10:00 jioni kwa saa za Afrika Mashariki.
Read more...




















