Club Highlight

Young Africans is one of the oldest football teams in East Africa, The Club was established in the year 1935. The club won Tanzania Premier League 24 times, Tanzania Cup 4 times and CECAFA cup 5 times.

You are here: Home

The Official Website of Young Africans Sports Club

TFF YAWAFUNGIA WACHEZAJI WA TANO WA YANGA

2012-03-13 14:26:30 VIEWED 577 TIMES
Kamati ya Ligi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) iliyokutana Dar es Salaam jana (Machi 12 mwaka huu) imetoa adhabu kwa klabu mbalimbali na wachezaji sita wakiwemo watano wa Yanga.
Read more...
 

YANGA, AZAM ZAINGIZA MIL 72/-

2012-03-13 13:08:49 VIEWED 340 TIMES
YANGA, AZAM ZAINGIZA MIL 72/-
Mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom kati ya Yanga na Azam lililochezwa Machi 10 mwaka huu Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam limeingiza sh. 72,731,000.
Read more...
 

YANGA KUIVAA AZAM JUMAMOSI

2012-03-07 11:07:28 VIEWED 505 TIMES
Kikosi cha Mabingwa wa ligi kuu Tanzania Bara Young Africans Sports Club kimeendelea na mazoezi katika viwanja wa vya shule ya Sekondari Loyola na shule ya IST kujiandaa na mchezo wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya timu ya Azam FC siku uya jumamosi katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam. Read more...
 

YANGA YAELEKEA MISRI, KUIVAA ZAMALEK

2012-02-29 22:09:42 VIEWED 528 TIMES

Kikosi cha timu ya Yanga kinaondoka usiku huu majira ya saa 8 usiku kuelekea jijini Cairo, tayari kwa kuikabili timu timu ya Zamalek SC ya nchni Misri katika mchezo wa marudiano wa Klabu Bingwa Barani Afrika.

Read more...
   

Page 58 of 66

Facebook Twitter YouTube
  • FACEBOOK

  • TWITTER

mod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_counter
mod_vvisit_counterToday601
mod_vvisit_counterYesterday2695
mod_vvisit_counterThis week3296
mod_vvisit_counterLast week15686
mod_vvisit_counterThis month53426
mod_vvisit_counterLast month53990
mod_vvisit_counterAll days681983

We have: 24 guests, 1 bots online
Your IP: 207.241.237.102
Mozilla 5.0, 
Today: Jul 23, 2013