You are here: Home

The Official Website of Young Africans Sports Club

YANGA 0-0 KS FLAMURTARI

VIEWED 3373 TIMES
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Tanzania timu ya Young Africans leo imetoka sare ya kutokufungana (0-0) dhidi ya timu ya KS Flamurtari inayoshiriki Ligi Kuu nchini Albania katika mchezo uliofanyika usiku wa leo katika viwanja vya Side Stars Complex Manavgat Antalya
Read more...
 

YANGA KUIVAA KS FLAMURTARI

VIEWED 3165 TIMES

Young Africans kesho itashuka dimbani kucheza na timu ya KS Flamurtari Vlore inayoshika nafasi ya tano kwenye msimamo wa Ligi Kuu nchini Albania ikiwa ni sehemu ya mchezo wa kirafiki wa kujipima nguvu kwa timu zote, mchezo utakaofanyika katika eneo la Side Manavagat.

Read more...
 

VOGTS, WOLFGANG WAIBUKIA YANGA

VIEWED 3412 TIMES

Wachezaji wa zamani wa timu ya Taifa ya Ujerumani ambao kwa sasa ni makocha wa timu ya Taifa ya Azerbeijan Berti Vogts na msaidizi wake Wolfgang leo jioni kabla ya mazoezi waliibuka katika viwanja vya hotel ya Sueno Beach na kuongea kidogo na makocha wa Young Africans Hans na Mkwasa masuala ya kiufundi kisha kuagana nao na kuwaacha waendelee na progam yao ya mazoezi.

Read more...
   

YANGA 2 - 0 ALTAY SK

VIEWED 5395 TIMES

Young Africans imemkaribish vizuri kocha mkuu mpya Hans Van Der Plyum leo baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya timu ya Altay SK iliyopo Ligi Daraja la pili nchini Uturuki katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa uliofanyika leo mchana katika viwanja vya Sueno eneo la Side Manavgat.

Read more...
 

YANGA KUIVAA ALTAY SK

VIEWED 2705 TIMES

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania bara na vinara wa ligi hiyo timu ya Young Africans itashuka dimbani siku ya jumatano kucheza mchezo wa pili wa kirafiki wa kujipima nguvu na timu ya Altay S.K iliyopo Ligi Daraja la Pli nchini Uturuki.

Read more...
   

Page 11 of 80

  • FACEBOOK

  • TWITTER