You are here: Home

The Official Website of Young Africans Sports Club

CHUJI AREJESHWA KUNDINI

VIEWED 3373 TIMES

Kiungo wa ulinzi wa timu ya Young Africans Athuman Idd Athuman "Chuji" amerejeshwa kundini kuungana na wachezaji wenzake baada ya awali kuwa amesimamishwa na uongozi kutona na kitendo cha utovu wa nidhamu aliouonyesha mwishoni mwa mwaka jana.

Read more...
 

YANGA Vs COASTAL KESHO

VIEWED 2054 TIMES

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara timu ya Young Africans kesho itashuka dimbani kupambana na wenyeji Coastal Union katika muendelezo wa michezo ya VPL, mchezo utakaopigwa katika daimba la Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga.

Read more...
 

YANGA YAWASILI TANGA, KUIVAA COASTAL JUMATANO

VIEWED 2979 TIMES

Vinara wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara timu ya Young Africans imewasili salama katika jiji la Tanga majira ya saa 6 kasorobo ikitokea jijini Dar es salaam tayari kwa kuwakabili wenyeji timu ya Coastal Union siku ya jumatano katika Uwanja wa Mkwakwani.

Read more...
   

YANGA 2-1 ASHANTI

VIEWED 3603 TIMES

Young Africans imeanza vizuri mzuguko wa pili wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara baada ya kuibuka na ushindi wa mabo 2-1 dhidi ya timu ya Ashanti United katika mchezo wa fungua dimba uliofanyika katika dimba la Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.

Read more...
 

HUU NDO UKWELI KUHUSU USAJILI WA OKWI

VIEWED 16320 TIMES

Uongozi wa klabu ya Young Africans umeamua kuweka hadharani ukweli kuhusiana na usajili wa mshambuliaji wake wa kimataifa kutoka nchini Uganda Emmanuel Okwi ambaye kamati ya maadili na hadhi za wachezaji imemzuia kuichezea Young Africana mpaka watakapopata uthibitisho kutoka FIFA.

Read more...
   

Page 9 of 80

  • FACEBOOK

  • TWITTER