
YOUNG AFRICANS KUIVAA SOFAPAKA FC
VIEWED 1347 TIMES
Timu ya Young Africans Sports Club siku ya jumamosi inatarajia kucheza kucheza mchezo wa kirafiki na timu ya Sofapaka FC kutoka nchini Kenya.
Mchezo huo wa kirafiki ulioandaliwa na Elite Youth Academy utafanyika katika Uwanja wa Taifa uliopo jijini Dar es salaa, kuanzia mida ya saa 10:00 jioni kwa saa za Afrika Mashariki. Young Africans itautumia mchezo huo kama maandalizi ya kujiandaa na mzunguko wa pili wa ligi ya Vodacom utakaonza tare 21 Januari 2012 na kujiandaa na mashindano ya Klabu Bingwa Afrika.
Read more...
