YANGA YASAINI MAKUBALIANO YA UPEMBUZI AKINIFU NA NEDCO
2012-01-20 14:17:53 VIEWED 1266 TIMES
Uongozi wa klabu ya Young Africans leo umesaini makubaliano ya upembuzi akinifu na kampuni ya NEDCO ya hapa jijini Dar es Salaam, kuhusu mradi wa ujenzi wa Uwanja wa kisasa Kaunda na jengo la kitega Uchumi katika kiwanja kilichopo mtaa wa mafia.
Read more...


