
YANGA YAICHAPA 3 - 1 MTIBWA SUGAR NA KUONGOZA LIGI KUU YA VODACOM
2012-02-08 22:14:49 VIEWED 1212 TIMES
Timu ya Young Africans Sports Club imefanikiwa kushika usukani wa ligi kuu ya Vodacom nchini Tanzania bara mara baada ya kuichapa bila huruma timu ya Mtibwa Sugar kwaka mabao 3 - 1 katika mchezo cha ligi kuu ya uliochezwa uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Read more...

