You are here: Home

The Official Website of Young Africans Sports Club

VIINGILIO, YANGA NA ZAMALEKI VYATANGAZWA

2012-02-15 15:42:15 VIEWED 1094 TIMES
Kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania pambano la Yanga na Zamalek limeingia katika historia mpya kufuatia tiketi za mchezo huo kuwa za kisasa ambazo tayari zimekwisha tua nchini. Kindamba amesema tiketi hizo zitasaidia kufahamu idadi ya watu watakaoingia uwanjani hapo kabla ya pambano hilo kuanza.
Read more...
 

YANGA, RUVU SHOOTING ZAINGIZA MIL 47

2012-02-13 13:21:34 VIEWED 1056 TIMES

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

14,150 WASHUHUDIA YANGA, RUVU SHOOTING
Watazamaji 14,150 ndiyo waliokata tiketi kushuhudia pambano la Ligi Kuu ya Vodacom kati ya Yanga na Ruvu Shooting lililochezwa jana (Februari 12 mwaka huu) Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam na kuingiza sh. 47,554,000.
Read more...
 

YANGA YAICHAPA RUVU SHOOTING 1-0 NA KURUDI KILELENI

2012-02-12 21:37:37 VIEWED 1074 TIMES
Timu ya Young Africans Sports Club imesheherekea miaka 77 kwa ushindi wa bao 1- 0 dhidi ya timu ya Ruvu Shooting katika mfululizo wa mechi za ligi kuu ya Vodacom . Mchezo huo wakuvitia ulifanyika katika Uwanja wa Taifa jjijini Dar es Salaam na kushuhudia timu zote zikionyesha kandanda safi na la kuvutia lakini mpaka mwisho wa mchezo huo Young Africans imefanikiwa kurudi kileleni na kushika usukani wa ligi kuu ya Vodacom nchini Tanzania Bara.
Read more...
   

TODAY, 77 YEARS ANNIVERSARY OF YANGA

2012-02-12 13:49:14 VIEWED 1183 TIMES
Ikiwa leo inasheherekea miaka 77 tangu kuasisiwa kwake, klabu ya Young Africans leo itashuka dimbani kucheza na timu ya Ruvu Shooting katika Uwanja wa Taifa, ikiwa ni mchezo wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara.
Kabla ya mchezo huo, mapema saa 8, kutakuwa na mchezo wa kirafiki kati ya Wachezaji wa zamani wa Young Africans (Veteran) Vs Clouds FM media.
Read more...
 

YANGA, MTIBWA SUGAR ZAINGIZA MIL 46/-

2012-02-10 10:24:01 VIEWED 1017 TIMES

TFF: PRESS RELEASE

YANGA, MTIBWA SUGAR ZAINGIZA MIL 49/-

Pambano la Ligi Kuu ya Vodacom kati ya Yanga na Mtibwa Sugar lililochezwa Februari 8 mwaka huu Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam limeingiza sh. 49,510,000.

Read more...
   

Page 75 of 80

  • FACEBOOK

  • TWITTER