You are here: Home

The Official Website of Young Africans Sports Club

YANGA KUIVAA COASTAL UNION JUMAMOSI

2012-03-28 08:58:47 VIEWED 843 TIMES
Kikosi cha Mabingwa wa ligi kuu Tanzania Bara Young Africans Sports Club kimeendelea na mazoezi katika viwanja wa vya chuo cha Ustawi wa Jamii na kampuni ya mafuta Kigamboni Tipper kujiandaa na mchezo wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya timu ya Coastal Union siku uya jumamosi katika uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga.
Read more...
 

WACHEZAJI WA YANGA WALIOFUNGIWA WAACHIWA HURU

2012-03-25 09:28:10 VIEWED 1470 TIMES

Kamati ya Nidhamu ya TFF - imewachia huru wachezji watano (5) wa klabu ya Yanga waliokuwa wamefungiwa kutokucheza mpira kwa vipindi tofauti na kamati ya ligi ya TFF, baada ya kamati ya nidhamu kuridhika na maelezo ya utetezi wa klabu ya yanga juu ya adhabu hizo zilizotolewa wiki mbili zilizopita.

Read more...
 

MTIHANI WA MAWAKALA WA WACHEZAJI

2012-03-23 17:41:17 VIEWED 806 TIMES
Mtihani kwa kwa ajili ya watu wanaotaka kuwa mawakala wa wachezaji na mechi wanaotambuliwa na Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) utafanyika Machi 31 mwaka huu saa 4 kamili asubuhi ofisi za Shirikisho laMpira wa Miguu Tanzania (FIFA).
Read more...
   

FAINALI DARAJA LA KWANZA KUCHEZWA MOROGORO

2012-03-21 15:05:08 VIEWED 842 TIMES
Mji wa Morogoro ndiyo utakaokuwa mwenyeji wa kituo cha Fainali ya Tisa Bora ya Ligi Daraja la Kwanza kuwania nafasi tatu za kucheza Ligi Kuu ya Vodacom msimu wa 2012/2013 itakayoanza Machi 31 mwaka huu.
Read more...
 

YANGA YAICHAPA VILLA 1-0

2012-03-17 20:50:06 VIEWED 932 TIMES

Timu ya Young Africans Sports Club imefanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1- 0 dhidi ya timu ya Villa Squad na kufikisha pointi 43, katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom nchini Tanzania bara, mechi iliyofanyika katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.

Read more...
   

Page 72 of 80

  • FACEBOOK

  • TWITTER