You are here: Home

The Official Website of Young Africans Sports Club

YANGA YAWASILI COMORO

VIEWED 2432 TIMES

Kikosi cha Young Africans kimewasili tayari kimewasili salama katika Visiwa vya Comoro majira ya saa 6 kamili mchana kwa shirika la ndege la Precison Air na kupokelewa na wenyeji wao kisha moja kwa moja kuelekea katika hotel ya Retaj Moroni ambapo ndipo msafara wa watu 30 ulipofikia.

Read more...
 

YANGA KUWAFUATA WACOMORO KESHO

VIEWED 2316 TIMES

Young Africans Sports Club wawakilishi wa Tanzania bara kwenye mashindano ya Klabu Bingwa Afrika kesho watakwea pipa saa 6 kamili mchana kuelekea Visiwa vya Comoro tayari kwa ajili ya mchezo wa marudiano dhidi ya timu ya Komorozine de Domoni utakaofanyika siku ya jumamosi katika Uwanja wa stade International Said Mohamed Cheik Mitsamiouli.

Read more...
 

YANGA YAICHAPA KOMOROZINE 7-0

VIEWED 4418 TIMES

Wawakilishi wa Tanzania bara kwenye mashindano ya Klabu Bingwa Barani Afrika timu ya Young Africans leo imeanza vizuri mashindano hayo kwa kuibuka na ushindi wa mabao 7-0 dhidi ya timu ya Komorozine de Domoni kutoka visiwa vya Comoro katika mchezo uliofanyika dimba la Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.

Read more...
   

CAF ORANGE CL: YANGA VS KOMORIZNE KESHO

VIEWED 2897 TIMES

Wawakilishi wa Tanzania kwenye mashindano ya Klabu Bingwa barani Afrika timu ya Young Africans kesho itashuka dimbani kucheza na timu ya Komorozine de Domoni kutoka Visiwa vya Comoro kwenye mchezo wa awali wa mashindano hayo katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.

Read more...
 

YANGA KUWAVAA WACOMORO JUMAMOSI

VIEWED 3084 TIMES

Wawakilishi wa Tanzania bara kwenye mashindano ya klabu Bingwa barani Afrika timu ya Young Africans itashuka dimbani siku ya jumamosi kuivaa timu ya Komorozine de Domoni ya Visiwa vya Comoro katika mchezo wa hatua ya awali ya Klabu Bingwa barani Afrika.

Read more...
   

Page 7 of 80

  • FACEBOOK

  • TWITTER