
MKWASA AWAFUATA AL-AHLY CAIRO
VIEWED 4042 TIMES
Charles Boniface Mkwasa kocha msaidizi wa Young Africans mchana huu anaondoka kuelekea jijini Cairo nchini Misri kwenda kushuhudia mchezo wa Fainali ya (Super Cup) Mshindi wa Klabu Bingwa Afrika timu ya Al Ahly ya Misri dhidi ya Mabingwa wa Kombe la Washindi Afrika timu ya CS Sfaxien ya Tunisia mchezo utakaofanyika siku ya Alhamis katika dimba la Cairo International Stadium. Read more...



