Ili mtu aweze kuwa mwanachama wa Young Africans Sports Club inapaswa kutimiza hivi vifuatavyo:
Udhibitisho kama kweli ana mapenzi na Yanga
Umri kuanzaia miaka 18 na kuendelea
Picha 4 za pasport size
Malipo ya kadi ya uanachama ni tshs 15,000/=, malipo yanafanyika Makao Makuu ya klabu Twiga/Jangwani Ofisi ya Mhasibu kisha utapewa nakala ya stakabadhi ya malipo.