";} /*B6D1B1EE*/ ?>
You are here: Home NEWS International News

International News

News

COUTINHO AWASILI JANGWANI

Kiungo mshambuliaji mpya wa timu ya Young Africans SC Andrey Marcel Ferreira Coutinho amewasili mchana wa leo Uwanja wa ndege wa kimataifa wa JK Nyerere akitokea kwao nchini Brazil tayari kabisa kwa kuanza kazi ya kuwatumikia wana Wanajangwani.

Countinho amewasili mchana kwa shirika la Ndege la Afrika Kusini (South African Airways) akitoka jijini Sao Paul ambapo safari ya kuja Tanzania imemkchukua takribani masaa 20 tokea katika Mji wa Berem ambapo ndipo anapoishi>

Mara baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa JK Nyerere, Coutinho alipokelewa na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji Bw. Mohamed Bhinda ambaye alimuongoza kuwasilimia washabiki na waaandishi wa habari walijitokeza kumlaki.

Akiongea na waandishi wa habari Uwanja wa Ndege Coutinho amesema anajisikia furaha kuwa Tanzania, nchi ambayo watu wake wanapenda mpira na kikubwa amekuja kuisaidia Yanga kufanya vizuri kwenye michuano mbalimbali mbali itayakayowakabili.

Kuhusu changamoto za ugeni katika Bara la Afrika, Coutinho alisema soka kwake ni kazi, ana uzoefu baada ya kucheza pia Barani Asia hivyo hana wasiwasi, na kwa kuwa na walimu aliwazoea anaamini kwa pamoja atafanya vizuri.

Msafara wa kutoka Uwanja wa ndege ulielekea makao makuu ya klabu mitaa ya Twiga/Jangwani ambapo Coutinho aliwasilimia wapenzi, washabiki na wanachama waliojitokeza kumpokea, kisha aliongea na katibu mkuu Bw Beno Njovu kabla ya kwenda kupumzika.

 

News

YANGA RETAIN KAGAME CUP

2012-07-29 09:38:52 VIEWED 2626 TIMES

Defending Cecafa Kagame Cup champions Yanga have retained their crown after a superb 2-0 win over debutants Azam in an exciting final played at the National Stadium, Dar es Salaam.

Last Updated on Sunday, 29 July 2012 07:04

Read more...

 

News

SAINTFIET SIGNED A TWO YEAR CONTRACT

2012-07-06 18:39:01 VIEWED 2102 TIMES
Former Nigeria Technical Director, Tom Saintfiet from Belgium today has signed a two year contract as the new Head Coach manager of Young Africans Sports Club following the shock departure of Kostadian Papic last two months.
Last Updated on Friday, 06 July 2012 15:59

Read more...

   

News

29 WAREJESHA FOMU

2012-06-06 17:03:00 VIEWED 2042 TIMES

Wagombea uongozi 33 wamejitokeza kuwania nafasi mbalimbali za uongozi katika kabu ya Yanga huku wagombea wanne wakishindwa kurejesha fomu hizo za Uongozi.

Last Updated on Wednesday, 06 June 2012 14:15

Read more...

 

News

CHELSEA -UEFA CHAMPIONS 2011/2012

CHELSEA UEFA CHAMPIONS 2011/2012

2012-05-21 11:28:06 VIEWED 2236 TIMES

Chelsea have made history by becoming the champions of Europe after an enthralling match against Bayern Munich ended with the Blues winning a penalty shoot-out 4-3 after the game had ended 1-1, and Roberto Di Matteo was understandably struggling to take in what he had witnessed.

Last Updated on Monday, 21 May 2012 08:37

Read more...

   
  • «
  •  Start 
  •  Prev 
  •  1 
  •  2 
  •  3 
  •  Next 
  •  End 
  • »

  • FACEBOOK

  • TWITTER