You are here: Home NEWS Local News

Local News

News

YANGA NA SIMBA UWANJA WA TAIFA

Kikosi cha Mabingwa wa Afrika Mashariki na Kati na Ligi Kuu Tanzania Bara Young Africans Sports Club, kesho tarehe 29 oktoba 2011 itashuka dimbani katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam kuikaribisha timu ya Simba katika mchezo wa ligi Tanzania bara (VPL). Mchezo huo unatarajiwa kuwa mzuri kutokana na Young Africans kuhitaji ushindi ili kuweza kupunguza tofauti ya pointi baina yake na Simba, Simba inaongoza ligi ikiwa na point 27 ikifuatiwa na Young Africans yenye 21. Kocha mkuu wa Young Africans Kostadian Papic amesema wachezaji wote ni wapo fit na ari ya mchezo, hakuna majeruhi hata mmoja. Mashabaiki wapenzi na wanachama mnaombwa kujitokeza kwa wingi kuishangilia timu yenu Last Updated on Wednesday, 02 November 2011 05:27
 

News

YANGA NA SIMBA UWANJA WA TAIFA

Kikosi cha Mabingwa wa Afrika Mashariki na Kati na Ligi Kuu Tanzania Bara Young Africans Sports Club,

Last Updated on Monday, 31 October 2011 20:00

Read more...

 

News

Tutawanyamazisha - Simba

Mabingwa wa soka kwa nchi za Afrikia Mashariki na Kati na mabingwa wa Tanzania Bara YANGA, Mwishoni mwa wiki hii wanatarajia kushuka katika dimba la uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, Last Updated on Monday, 31 October 2011 20:00

Read more...

   

News

Kikosi kipo tayari kwa pambano dhidi ya Simba

Kocha mkuu Papic amewaambia wapenzi na wanachama wa timu ya Yanga kuwa kikosi cha timu hiyo kipo tayari kukabiliana na mnyama Simba katika pambano la mchezo wa ligi kuu ya Vodacom Last Updated on Monday, 31 October 2011 20:00

Read more...

   

  • FACEBOOK

  • TWITTER