You are here: Home NEWS Local News

Local News

News

YANGA WAISHANGAA CECAFA

VIEWED 9651 TIMES

Uongozi wa klabu ya Young Africans leo umefanya mkutano na waandishi wa habari nchini na kusema kilichofanywa na waandaji wa michuano ya Kombe la Vilabu Bingwa ukanda wa Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) kuiondoa timu isishiriki ni cha kushangaza sana na kinadidimiza soka kwa ujumla.

Last Updated on Wednesday, 06 August 2014 12:46

Read more...

 

News

YANGA YATANGAZA KAMATI YA UTENDAJI

VIEWED 6044 TIMES

Katibu Mkuu wa Young Africansa Bw Beno Njovu l eo ametangaza Wajumbe Wapya wa Kamati ya Utendaji ambao wanaanza kazi rasmi Agosti Mosi 2014 kwa kushirikiana na Mwenyekiti Yusuf Manji na makamo wake Clement Sanga, na kuwapa shukrani viongozi waliomaliza muda wao.

Ifuatayo ni TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI:

Last Updated on Sunday, 27 July 2014 09:53

Read more...

 

News

JAJA ASAINI MIAKA MIWILI

VIEWED 6553 TIMES
Hatimaye mshamabuliaji Geilson Santos Santana "Jaja" raia wa Brazil leo amesaini mkataba wa miaka miwili (2014-2016) kuitumikia timu ya Young Africans kwa ajili ya michuano mbalimbali ikiwemo ya Ligi Kuu ya Vodacom pamoja na mashindano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika mwakani.
Last Updated on Monday, 21 July 2014 10:09

Read more...

   

News

JAJA AWASILI, KUANZA KAZI KESHO

VIEWED 9420 TIMES

Mshambuliaji wa kimataifa kutoka nchini Brazil Geilson Santos Santana "Jaja" amewasili leo mchana jijini Dar es salaam akitokea jijini Sao Paul tayari kwa kuanza kazi ya kuitumikia klabu ya Young Africans Sports Club kwa msimu wa 2014/2015.

Last Updated on Tuesday, 15 July 2014 13:28

Read more...

 

News

MAXIMO KUONGEA IJUMAA

VIEWED 3672 TIMES
Kocha mkuu wa timu ya Young Africans SC Mbrazil Marcio Maximo amesema atakua akiongea na waandishi wa habari kila siku ya Ijumaa asubuhi mara tu baada ya mazoezi katika shule ya sekondari Loyola ili kuwapa nafasi na fursa ya kumuuliza maswali mbalimbali kuhusiana na maandalizi ya kikosi chake msimu ujao.
Last Updated on Tuesday, 08 July 2014 10:32

Read more...

   

  • FACEBOOK

  • TWITTER