YANGA YAICHAPA THIKA 1-0
VIEWED 6083 TIMES
Young Africans imeendeleza wimbi lake la ushindi kwenye michezo ya kirafiki baada ya leo kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya timu ya Thika United katika mchezo uliofanyika jioni ya leo katika dimba la Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Last Updated on Wednesday, 03 September 2014 17:26


