YANGA Vs JKT RUVU JUMAPILI
VIEWED 3166 TIMES
Baada ya kupata ushindi wa kwanza wa mabao 2-1 kwenye Ligi Kuu ya Vodacom dhidi ya maafande wa jeshi la Magereza Tanzania Prisons, timu ya Young Africans itashuka tena dimbani siku ya jumapili kucheza na maafande wa Jeshi la Kujenga Taifa (Ruvu JKT Stars) kwenye dimba la Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Last Updated on Friday, 03 October 2014 09:37


