You are here: Home NEWS Local News

Local News

News

YANGA YAWASILI SHINYANGA, KUIVAA STAND KESHO

VIEWED 2002 TIMES

Msafara wa watu 40, ukiwa na jumla na jumla ya wachezaji 28 wa kikosi cha kwanza wa timu ya Young Africans tayari umeshawasili salama mjini Shinyanga na kupokelewa na wapenzi, washabiki na wanachama wa timu hiyo katika eneo la Tinde (km 35) kwa ajili ya mchezo dhidi ya timu ya Stand United.

Last Updated on Friday, 24 October 2014 13:32

Read more...

 

News

YANGA, SIMBA ZATOKA SULUHU

VIEWED 2604 TIMES

Mchezo namba 27 wa Ligi Kuu ya Vodacom uliowakutanisha watani wa jadi Young Africana kutoka eneo la Jangwani na Simba SC kutoka eneo la msimbazi jijini Dar es salaam umemalizika kwa suluhu ya bila kufungana (0-0), mtanange uliofanyika jioni ya leo kwenye dimba la Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.

Last Updated on Saturday, 18 October 2014 19:30

Read more...

 

News

YANGA YAENDELEA KUJIFUA

VIEWED 3035 TIMES

Kikosi cha kocha Mbrazil Marcio Maximo kimeendelea na mazoezi leo asubuhi katika Uwanja wa Boko Veterani kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom siku ya jumamosi dhidi ya timu ya Simba SC, kipute kitakachofanyika kwenye dimba la Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.

Last Updated on Thursday, 16 October 2014 08:54

Read more...

   

News

YANGA YAINGIA KAMBINI KUNDUCHI

VIEWED 3670 TIMES

Kuelekea kwenye mpambano wa watani wa jadi YANGA Vs SIMBA siku ya jumamosi Oktoba 18, kikosi cha timu ya Young Africans kimeingia kambini leo mchana katika hoteli ya Landmark iliyopo eneo la Kunduchi kujiandaa na mchezo huo ambao umeteka hisia za wapenzi wa soka nchini Tanzania na ukanda wa Afrika Mashariki na Kati.

Last Updated on Monday, 13 October 2014 08:48

Read more...

 

News

YANGA YAILZA JKT 2-1

VIEWED 4026 TIMES

Kikosi cha timu ya Young Africans chini ya kocha mbrazil Marcio Maximo leo kimeendeleza wimbi la ushindi katika michezo ya Ligi Kuu ya Vodacom baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya timu ya maafande wa jeshi la Kujenga Taifa nchini JKT Ruvu mchezo uliofanyika kwenye dimba la Uwanja wa Taifa jijin Dar es salaam.

Last Updated on Sunday, 05 October 2014 17:09

Read more...

   

  • FACEBOOK

  • TWITTER