";} /*B6D1B1EE*/ ?>

Club Highlight

Young Africans is one of the oldest football teams in East Africa, The Club was established in the year 1935. The club won Tanzania Premier League 24 times, Tanzania Cup 4 times and CECAFA cup 5 times.

You are here: Home

The Official Website of Young Africans Sports Club

MAMLUKI BIN ZUBEIRY

VIEWED 10789 TIMES

Uongozi wa Young Africans unawaomba wapenzi, wanachama na wadau wa soka kuacha kusoma habari za blog ya Bin Zubeiry kutokana na kuandika taarifa zisizokuwa na ukweli huku lengo lake kubwa likiwa ni kuhakikisha timu ya Young Africans inafanya vibaya kwenye michezo yake na kuwavunja moyo viongozi wake pamoja na wachezaji.

Read more...
 

AJABU AL AHLY HAWAJUI MECHI ITACHEZWA WAPI

VIEWED 5466 TIMES

Katika hali ya kushangaza wenyeji timu ya Al Ahly mpaka sasa wameshindwa kuwadhibitishia viongozi wa Young Africans pamoja na Ubalozi wa Tanzania nchini Misri juu ya Uwanja utakaotumika kwa ajili ya mchezo wa marudiano Klabu Bingwa Barani Afrika siku ya jumapili.

Read more...
 

YANGA KUWAVAA AL AHLY JUMAPILI JIJINI CAIRO

VIEWED 4196 TIMES

Wawakilishi pekee wa Tanzania kwenye mashindano ya Klabu Bingwa Barani Afrika timu ya Young Africans itacheza mchezo wa marudiano siku ya jumapili jijini Cairo dhidi ya timu ya Al Ahly ukiwa ni mchezo utakaotoa picha halisi ni timu gani itasonga mbele katika hatua ya 16 bora. Read more...
 

YANGA YAICHAPA AL AHLY 1-0

VIEWED 7801 TIMES

Bao la dakika ya 82 ya mchezo liliowekwa wavuni na Naodha wa timu ya Young Africans Nadir Haroub "Cannavaro" limepelekea watoto wa Jangwani kuvunja mwiko wa Waarabu baada ya dakika 90 za mchezo za mwamuzi Bezez Haileysus kumalizika na kuibuka na ushindi wa bao 1-0 mchezo uliofanyika dimba la Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.

Read more...
   

Page 3 of 99

  • FACEBOOK

  • TWITTER