
YOUNG AFRICANS YAICHAPA 2-1 SOFAPAKA
VIEWED 1043 TIMES
Mabingwa wa Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati na ligi kuu Tanzania bara, Young Africans Sporst Club imeifunga timu ya Sofapaka FC kutoka nchini Kenya kwa mabao 2-1.
Young Africans iliyo onyesha soka safi na kucheza pasi nyingi ilifanikiwa kujipatia bao lake la kwanza dakika ya 29 kupitia kwa mchezaji bora wa mwaka nchini Uganda (2011) Hamis Kiiza 'Diego' kwa njia ya dhabu ya penati, mara baada ya naohodha wa timu ya Sofapaka James Situma kumchezea vibaya Davies Mwape katika eneo la hatari na mwamuzi kuamuru ipigwe penati.
Read more...


