Club Highlight

Young Africans is one of the oldest football teams in East Africa, The Club was established in the year 1935. The club won Tanzania Premier League 24 times, Tanzania Cup 4 times and CECAFA cup 5 times.

You are here: Home

The Official Website of Young Africans Sports Club

YANGA KUCHEZA NA ZAMALEKI MECHI MOJA?

2012-02-06 15:18:47 VIEWED 1971 TIMES

Uongozi wa Klabu ya Yanga imekiandikia barua Shirikisho la soka nchini TFFF kutaka mechi ya Klabu Bingwa Barani Afrika dhidi ya Zamalek ya Misri ichezwe moja kutokana na hali ya usalama uliopo nchini Misri.

Read more...
 

YANGA YASAKA WIMBO WAKE

2012-02-01 14:36:39 VIEWED 1060 TIMES
Uongozi wa Klabu ya Yanga kwa kushirikiana na kampuni ya Prime Time Promotion kupitia radio yake ya Clouds FM ya jijini Dar es Salaam kwa pamoja wamezindua shindano la kutafuta wimbo maalumu wa Klabu ya Yanga utakaoshirikisha Wasanii mbalimbali hapa nchini.
Read more...
 

YANGA YAICHAPA JKT RUVU 3-1

2012-01-28 23:18:39 VIEWED 980 TIMES

Timu ya Young Africans Sports Club imeibuka na ushindi wa mabao 3 - 1 dhidi ya timu ya JKT Ruvu katika mchezo cha ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara uliochezwa uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.

Read more...
 

NURDIN NJE WIKI TATU

2012-01-25 12:14:18 VIEWED 1702 TIMES
Kiungo mshambuliaji wa timu wa Young Africans Sports Club, Nurdin Bakari leo ameteguka vidole viwili vya mkono wake wa kulia, katika mazoezi yaliyofanyika shule ya sekondari Loyola jijini Dar es Salaam.
Read more...
   

Page 95 of 100

  • FACEBOOK

  • TWITTER