YANGA YAICHAPA AFRICAN LYON 1-0
2012-03-15 11:49:15 VIEWED 1141 TIMES
Timu ya Young Africans Sports Club imefanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya timu ya African Lyon na kufikisha pointi 40, katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom nchini Tanzania bara, mechi iliyofanyika katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Read more...




