
YANGA YAJIFUA KUWAVAA RUVU SHOOTING
VIEWED 2200 TIMES
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara timu ya Young Africans wameendelea na mazoezi kujiandaa na mchezo wake wa siku ya jumamosi dhidi ya Maaafande wa Jeshi la Kujenga Taifa Ruvu Shooting ikiwa ni katika muendelezo wa mzunguko wa pili wa Ligi Kuu utakaofanyika katika dimba la Taifa jijini Dar es salaam.
Read more...




