The Official Website of Young Africans Sports Club

YANGA 1 - 2 MGAMBO

VIEWED 1727 TIMES

Young Africans leo imepoteza mchezo wake wa pili katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara baada ya kufungwa kwa mabao 2-1 na wenyeji timu ya Mgambo Shooting ya Handeni katika mchezo uliofanyika kwenye dimba la Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga.

Read more...
 

YANGA KUSAKA PONTI 3 KWA MGAMBO KESHO

VIEWED 1306 TIMES

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara timu ya Young Africans kesho watashuka dimbani kucheza na timu ya Mgambo JKT kutoka mjini Handeni katika muendelezo wa michezo ya VPL 2013.14 kipute kitakachofanyika kwenye uwanja wa CCM Mkwakwani jijini Tanga.

Read more...
 

YANGA YAWASILI TANGA

VIEWED 2192 TIMES

Kikosi cha timu ya Young Africans tayari kimeshawasili salama jijini Tanga mchana wa leo kwa ajili ya mchezo wake dhidi ya maafande wa Mgambo JKT utakaopigwa siku ya jumapili katika dimba la Uwanja wa Mkwakwani na jioni ya leo timu imefanya mazoezi katika Uwanja wa shule ya Sekondari Galanos eneo la Nguvumali.

Read more...
 

YANGA YAICHAPA TANZANIA PRISONS 5 - 0

VIEWED 2148 TIMES
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Vodacom timu ya Young Africans imeendeleza wimbi lake la ushindi baada ya kuichapa timu ya Maafande wa Jeshi la Magereza Tanzania Prisos kwa mabao 5-0 katika mchezo uliofanyika kwenye dimba la Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Read more...
   

Page 1 of 102