The Official Website of Young Africans Sports Club

YANGA KUIVAA JKT RUVU JUMAPILI

VIEWED 511 TIMES

Young Africans itashuka dimbani siku ya jumapili kucheza na JKT Ruvu katika muendelezo wa michezo ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara mzunguko wa pili raundi ya 23 mchezo utakaofanyika katika dimba la Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.

Read more...
 

YANGA 1 - 2 MGAMBO

VIEWED 1827 TIMES

Young Africans leo imepoteza mchezo wake wa pili katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara baada ya kufungwa kwa mabao 2-1 na wenyeji timu ya Mgambo Shooting ya Handeni katika mchezo uliofanyika kwenye dimba la Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga.

Read more...
 

YANGA KUSAKA PONTI 3 KWA MGAMBO KESHO

VIEWED 1315 TIMES

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara timu ya Young Africans kesho watashuka dimbani kucheza na timu ya Mgambo JKT kutoka mjini Handeni katika muendelezo wa michezo ya VPL 2013.14 kipute kitakachofanyika kwenye uwanja wa CCM Mkwakwani jijini Tanga.

Read more...
 

YANGA YAWASILI TANGA

VIEWED 2212 TIMES

Kikosi cha timu ya Young Africans tayari kimeshawasili salama jijini Tanga mchana wa leo kwa ajili ya mchezo wake dhidi ya maafande wa Mgambo JKT utakaopigwa siku ya jumapili katika dimba la Uwanja wa Mkwakwani na jioni ya leo timu imefanya mazoezi katika Uwanja wa shule ya Sekondari Galanos eneo la Nguvumali.

Read more...
   

Page 1 of 102