YANGA YAICHAPA 2- 1 KAGERA SUGAR
VIEWED 463 TIMES
Young Africans imeendeleza wimbi lake la ushindi katika michezo ya Ligi Kuu Tanzania bara hatua ya lala salama baada ya kuichapa timu ya Wakata miwa Kagera Sugar kutoka mjini Bukoba kwa mabao 2-1 mchezo uliofanyika jioni ya leo kwenye dimba la Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Read more...
