The Official Website of Young Africans Sports Club

YANGA KUIVAA KAGERA SUGAR KESHO UWANJA WA TAIFA

VIEWED 1812 TIMES

Young Africans kesho itashuka dimbani kucheza na wakata miwa kutoka mjini Bukoba timu ya Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara mzunguko wa raundi ya 24, kipute kitakachofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.

Read more...
 

YANGA YAICHAPA JKT RUVU 5-1

VIEWED 2729 TIMES

Mabingwa Watetezi wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara timu ya Young fricans leo imeibuka na ushindi mnono wa mabao 5-1 dhidi ya timu ya Maafande wa Jeshi la Kujenga Taifa nchini JKT Ruvu katika mchezo uliofanyika kwenye dimba la Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.

Read more...
 

TAARIFA ZA OKWI, YONDANI, CHUJI HAZINA UKWELI

VIEWED 5367 TIMES

Uongozi wa klabu ya Young Africans unasikitishwa na taarifa zinazotolewa na baadhi ya Vyombo Vya Habari tangu siku ya jumatano kwamba wachezaji Juma Kaseja, Kelvin Yondani, Athuman Idd "Chuji" wamefukuzwa kwenye timu na Emmanuel Okwi ameondoka kurejea kwao nchini Uganda ni za uongo mtupu.

Read more...
 

YANGA KUIVAA JKT RUVU JUMAPILI

VIEWED 2124 TIMES

Young Africans itashuka dimbani siku ya jumapili kucheza na JKT Ruvu katika muendelezo wa michezo ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara mzunguko wa pili raundi ya 23 mchezo utakaofanyika katika dimba la Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.

Read more...
   

Page 1 of 103