YANGA YAWAFUATA MTIBWA MOROGORO
VIEWED 1930 TIMES
Msafara wa Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara timu ya Young Africans leo asubuhi umeondoka jijini Dar es salaam kuelekea mjini Morogoro tayari kwa mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar siku ya jumamosi, mechi itakayopigwa kwenye dimba la Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro.
Read more...

