The Official Website of Young Africans Sports Club

YANGA 1- 1 AZAM

VIEWED 894 TIMES

Young Africans imetoka sare ya bao 1-1 dhidi ya timu ya Azam FC katika mchezo wa wa Ligi Kuu Tanzania bara uliofanyika dimba la Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam na kufikisha poniti 40 ikiwa ni poniti nne nyuma ya Azam yenye ponti 44 lakini wauza ramba ramba wakiwa mbele kwa mchezo mmoja.

Read more...
 

YANGA KUIVAA AZAM

VIEWED 2052 TIMES

Young Africans Sports Club yenye makao makuu yake mitaa ya Twiga/Jangwani kesho itashuka katika dimba la Uwaja wa Taifa jijini Dar es salaam kuwakaribisha wauza maji/ramba ramba timu ya Azam FC ikiwa ni muendelezo wa michezo ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara msimu wa 2013/2014.

Read more...
 

YANGA 0 - 0 MTIBWA

VIEWED 1755 TIMES

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara timu ya Young Africans leo imetoka suluhu (0-0 ) dhidi ya timu ya Mtibwa Sugar ya Manugu katika mchezo uiofanyika jioni ya leo dimba la Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro.

Read more...
 

YANGA Vs MTIBWA KESHO

VIEWED 1355 TIMES

Young Africans kesho itashuka dimba la Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro majira ya saa 10 jioni kupambana na timu ya wakata Miwa timu ya Mtibwa Sugar ikiwa ni sehemu ya muendelezo wa mechi za Ligi Kuu ya Vodacom msimu wa 2013/2014.

Read more...
   

Page 1 of 100