Club Highlight

Young Africans is one of the oldest football teams in East Africa, The Club was established in the year 1935. The club won Tanzania Premier League 24 times, Tanzania Cup 4 times and CECAFA cup 5 times.

You are here: Home

The Official Website of Young Africans Sports Club

UCHAGUZ MKUU YANGA JUNI 15, 2014

  VIEWED 2041 TIMES

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Kikao cha Kamati ya Utendaji kilichoketi tarehe 10 Aprili 2014 Makao Makuu ya klabu kiliazimia kuwa Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa YANGA SC utafanyika tarehe 15 Juni 2014.

Read more...
 

YANGA KUIVAA OLJORO KESHO

  VIEWED 1742 TIMES

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara timu ya Young Africans kesho watashuka dimbani kusaka pointi 3 muhimu kwa kucheza na timu ya JKT Oljoro mchezo utakaofanyika kwenye dimba la Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha.

Read more...
 

YANGA YAICHAPA 2- 1 KAGERA SUGAR

 VIEWED 2125 TIMES

Young Africans imeendeleza wimbi lake la ushindi katika michezo ya Ligi Kuu Tanzania bara hatua ya lala salama baada ya kuichapa timu ya Wakata miwa Kagera Sugar kutoka  mjini Bukoba kwa mabao 2-1 mchezo uliofanyika jioni ya leo kwenye dimba la Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.

Read more...
 

YANGA KUIVAA KAGERA SUGAR KESHO UWANJA WA TAIFA

VIEWED 2044 TIMES

Young Africans kesho itashuka dimbani kucheza na wakata miwa kutoka mjini Bukoba timu ya Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara mzunguko wa raundi ya 24, kipute kitakachofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.

Read more...
   

Page 1 of 104

 • «
 •  Start 
 •  Prev 
 •  1 
 •  2 
 •  3 
 •  4 
 •  5 
 •  6 
 •  7 
 •  8 
 •  9 
 •  10 
 •  Next 
 •  End 
 • »

 

Facebook Twitter YouTube
 • FACEBOOK

 • TWITTER